Kuchanganua Biashara

Badili hobi yako kuwa biashara

Kuna njia nyingi za kutoboa katika ujasiriamali ila asilimia kubwa ya wajasiriamali walibadili hobi zao kuwa biashara. Kubadili hobi kuwa biashara inahitaji uvumilivu wa hali ya juu. Wengi hukata tamaa njiani. Achilia mbali wale wanaokata » » » »

Usimamizi wa Fedha

Unatokaje katika madeni?

Kujitoa katika madeni ni kazi ngumu sana. Ila kama kweli unataka mafanikio ya kweli jitoe kabisa katika madeni. Kwanini nasema jitoe katika madeni? Asilimia kubwa ya wanaodaiwa wanadaiwa pesa ambazo hazizalishi chochote. Haya ni madeni » » » »