Usimamizi wa Fedha

Unatokaje katika madeni?

Kujitoa katika madeni ni kazi ngumu sana. Ila kama kweli unataka mafanikio ya kweli jitoe kabisa katika madeni. Kwanini nasema jitoe katika madeni? Asilimia kubwa ya wanaodaiwa wanadaiwa pesa ambazo hazizalishi chochote. Haya ni madeni » » » »

Kuchanganua Biashara

Ujasiriamali ni wajibu sio zawadi

Kuna kauli huwa watu wanaziongea kana kwamba wakiingia kwenye ujasiriamali ndio matatizo yao ya kifedha yatakuwa yamepata ufumbuzi. Sio mbaya kuwaza hivyo ila niwakumbushe tu unapoanza kuingia kwenye ujasiriamali usiingie kama unaingia kwenye sherehe ya » » » »