miamiatz kukuzamaarifa kuongezaustawi
Aina za Umiliki wa Biashara Tanzania

Aina za umiliki wa biashara Tanzania

Nchini Tanzania neno biashara linatumika likibeba maana ya “shughuli halali rasmi ama isiyo rasmi inayofanywa kwa malengo ya kujipatia faida.” Tafsiri hii inamaana kuwa shughuli yoyote ambayo haina malengo ya kupata faida ama inayokiuka sheria » » » »