Kuchanganua Biashara

Ujasiriamali ni wajibu sio zawadi

Kuna kauli huwa watu wanaziongea kana kwamba wakiingia kwenye ujasiriamali ndio matatizo yao ya kifedha yatakuwa yamepata ufumbuzi. Sio mbaya kuwaza hivyo ila niwakumbushe tu unapoanza kuingia kwenye ujasiriamali usiingie kama unaingia kwenye sherehe ya » » » »

Nini maana ya kupanga mikakati?
Kuchanganua Biashara

Nini maana ya kupanga mikakati?

Kupanga Mikakati Ni (1) Kushughulikia Madhaifu Yako Ili Kukabiliana Na Madhara Yanayoweza Jitokeza Na (2) Kupembua Umahiri Wako Ili Kuzinyakua Fursa Zote Zilizombele Yako. Swala la kupanga mikakati wazungu huliita strategic planning. Ni jambo muhimu » » » »