Fursa ya biashara ya kilimo cha nyonyo
Sekta ya Kilimo Tanzania

Fursa ya biashara ya kilimo cha nyonyo

Utangulizi Nyonyo hulimwa ili kupata mbegu zake. Mafuta yatokanayo kwenye nyonyo hutumika kwa matumizi kadhaa kama vile vilainishi vya mitambo mbalimbali iendayo kasi na ndege. Pia hutumika kutengenezea sabuni, karatasi angavu, wino wa printa, vanish,