Kanuni rahisi ya kuijua fursa

Kutafuta fursa na kubaini fursa ni zoezi linalowashinda vijana wengi. Fursa ina kanuni tatu rahisi. Zaweza kuwepo nyengine ila hizi ndio kuu. Kanuni hizi zinahusiana na uhitaji, upatikanaji, ubora, huduma.

1. Uhitaji wa bidhaa > Upatikanaji wake.

2. Ubora unaohitajika > Ubora unaopatikana.

3. Huduma inayohitajika > Huduma inayopatikana.

Kama hukumbuki alama hizi acha nikukumbushe.

> kubwa kuliko

< ndogo kuliko

Hivyo basi siku zote angalia soko kwa kanuni hizi tatu. Na ukifuata kanuni hizi utaziona fursa nyingi sana. Hutohangaika kuiga biashara za watu kama hakuna uhitaji wa ziada ama kama ubora upatikanao sio hafifu. Short and clear. #miamiatz #KukuzaMaarifa #KuongezaUstawi

About Juma Kessy 49 Articles
Napenda sana ujasiriamali. Napenda vijana wote wajue kanuni muhimu za ujasiriamali. Msingi unaoniongoza ni maarifa kwa wote. Na lengo langu kuu ni Kukuza Maarifa na Kuongeza Ustawi.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*