Jinsi ya kusajili kampuni Tanzania – hatua kwa hatua
Makala hii inaelezea hatua 15 za kusajili kampuni Tanzania. Hatua hizi zaweza ongezeka iwapo sekta husika inasimamiwa na sheria ya ziada. Sekta zinazosimamiwa na sheria za ziada ni kama vile utalii, afya, elimu, uvuvi, nishati, madini, mafuta, gesi, na kadhalika. Zingatia: Kwa wale wanaojiuliza Kampuni inatofauti na Jina la biashara? …
Jinsi ya kusajili kampuni Tanzania – hatua kwa hatua Read More »