Author name: Kessy Juma

Kessy Juma ni muasisi wa Miamia Trading Company (miamiatz). Ni mhasibu aliyejikita kwenye biashara za kidigitali. Kessy huamini kuwa taarifa za kibiashara ni muhimu sana kwa ustawi wa biashara.

Ni mmoja wa waasisi na mkurugenzi wa Tai Expediters Ltd, kampuni ya uchambuzi wa data na utafiti iliyopo jijini Dar es Salaam na xBorders Tanzania Ltd, kampuni ya uchakataji wa nyama iliyopo jijini Mwanza.

Makala za Kessy Juma

Scroll to Top