Duka dogo la vifaa vya ujenzi ni duka linalouza vifaa mbalimbali vinavyotumika kwenye shughuli za ujenzi. Hii ni pamoja na kila aina ya bidhaa za vifaa kama zana za mkono, zana za umeme, vifaa vya bomba, vifaa vya ujenzi, makufuli, bawaba, minyororo, vifaa vya umeme, bidhaa za kusafishia, rangi, na bidhaa za kutunzia bustani.
Vifaa vya ujenzi ni vifaa na zana zinazotumika katika ujenzi wa nyumba na miundo mbinu mbalimbali. Biashara ya vifaa vya ujenzi ni fursa inayokua kwa kasi nchini Tanzania. Mtu anaweza kuanza na duka dogo la vifaa vya ujenzi nchini Tanzania na kulikuza hadi kuwa na duka kubwa ama hata kampuni kubwa ya vifaa vya ujenzi na ujenzi.
Estimated Cost : 4,000,000 – 10,000,000 TZS
Time Needed : 14 days
Duka dogo la vifaa vya ujenzi ni duka dogo la rejareja ambapo mmiliki hujikita zaidi kununua na kuuza vifaa vya kujengea nyumba na miundombinu mbalimbali. Duka dogo la vifaa vya ujenzi huhitaji wastani wa mtaji wa Shilingi za Tanzania 4m hadi 10m.
Hatua ya 1: Chagua aina gani ya vifaa vya ujenzi unavyotaka kuuza
Mahitaji ya vifaa vya ujenzi yanakua haraka sana nchini Tanzania. Na ushindani katika sekta hiyo pia ni mkubwa sana. Kuchaguaaina moja ya vifaa vya ujenzi inaweza kusaidia kudhibiti ushindani. Kama tujuavyo kuwa miradi ya ujenzi huenda kwa hatua, ikiwa ni hatua ya kujenga msingi na boma, basi vifaa ambavyo vitatumika ni matofali, saruji, maji, mchanga na kokoto.
Mteja anapokuwa kwenye hatua ya msingi na ujenzi wa boma, atatembelea zaidi maduka na sehemu ambazo wanauza vifaa hivyo vihusuvyo msingi na boma. Sio rahisi mteja kwenye kwenye duka linalouza vifaa mchanganyiko iwapo anajua sehemu inayouza vifaa flani maalum anavyovitaka.
Mara nyingi wateja wakihitaji cement wanaenda duka la cement. Wakihitaji mchanga wanaenda panapouzwa mchanga. Wakihitaji mabati wanaenda maduka ya jumla ya mabati.
Iwapo una mtaja mdogo basi ni vyema kujikita zaidi kwenye aina moja au mbili ya vifaa vya ujenzi. Kama ni cement basi ni hiyo hiyo, kama ni mabati basi ni hayo hayo, kama ni mchanga basi ni huo huo na matofali basi jikite huko, kama ni mbao basi jikite huko.
Kwa mtaji usiozidi milioni 10, utatakiwa kuchagua katika bidhaa zifuatazo ni ipi unayotaka kujikita nayo.
1. Matofali, mchanga na kokoto
2. Cement na vifaa vinavyoendana navyo
3. Mbao na vifaa vinavyoendana navyo
4. Bidhaa za rangi na vinavyoendana navyo
5. Misumari na vinavyoendana navyo
6. Nondo, bomba za chumba, na vinavyoendana navyo
7. Mabati na vinavyoendana navyo
8. Vifaa bomba na vinavyoendana navyo
9. Jipsam na vinavyoendana navyo
10. Siling bodi na vinavyoendana navyo
11. Vifaa vya umeme na vinavyoendana navyo
12. Nyenzo mbalimbali za kufanyia kaziHatua ya 2: Tafuta eneo zuri la biashara
Eneo ambalo limeshajengeka halitokufaa. Badala yake tafuta eneo ambalo halijajengeka sana na ambalo watu wanendelea kujenga. Maeneo ya hivyo huwa mbali na mijini hivyo inabidi ujiandae kufanyia biashara nje ya mji.
Mathalan, kwa Dar es Salaam, maeneo kama ya Mbutu, Majohe, Madale, Kawe, Wazo, Chamazi, n.k. yanafaa zaidi kwa biashara ya vifaa vya ujenzi. Duka la vifaa vya ujenzi ukilifungua maeneo kama ya magomeni au makumbusho dah utapata tabu sana ya kufanya biashara na zaidi zaidi utauza zaidi vitu kama taa za umeme na vinavyofanan navyo.
Jambo la kuzingatia ni kuwa sio kila sehemu ambayo ni nje ya mji panafaa kuweka duka la vifaa vya ujenzi, bali lazima sehemu husika iwe na miradi ya ujenzi inayoendelea na kuwe na ukuaji wa ujenzi wa kila mara.Hatua ya 3: Litafiti soko na ukusanye mawasiliano ya wateja wa kuanzia
Jambo kuu katika biashara litakalokupa mafanikio ni uchangamfu. Ukiwa mchangamfu na kujenga mazoea na watu muhimu kama mafundi ujenzi, mafundi umeme, mafundi tailiz, mafundi bomba na watu wengine wote wanaofanya shuhuli za ujenzi.
Uwezo wako wa kujimix na watu na kujenga marafiki wapya hapa ni wa muhimu sana. Biashara ni mchezo wa mahusiano na mshindi ni yule anaeucheza vyema mchezo huo.Hatua ya 4: Andaa mpango kazi mfupi
Prepare some sort of plans. Include the following in your plan: ownership structure, who will be in the shop, what should be the average daily sales to break even, what should be the daily sales to get some profit, how to get acclimatized with the locality, how much cash will be injected, how will the business idea get tested and validated.
Plan the levels of starting stock, minimum stock and maximum stock. Plan cash flow management including the necessity of opening bank account and mobile wallets (TigoPesa, mpesa, etc).
Define the problem statement in your plan and the propose a solution that you focus on. Define the key success factors in the plan which include customer service, knowledge, good team, ability to leverage offline and online social networks.
We can offer sample plans at a small fee. Contact us if you will need one.Hatua ya 5: Kodi sehemu ya kufanyia biashara
Rent a shop for the business. You can alternatively arrange for a place where you can start from for testing the idea. Sometimes you might be in a position to share a place where a friend or partner is using and avoid paying rent for a business that you want to test. If you have no option then you have to rent a shop as the lease agreement will be required in the next step.
Hatua ya 6: Chagua muundo wa biashara na uisajili
Choose a name for your business and I suggest that you start with a business name (sole proprietorship) as the ownership structure for a small hardware shop. This will reduce the compliance and regulatory complications and costs as you start the business.
1. Register the business name with BRELA. Click this link to read our article on how to register a business name/sole proprietorship online with BRELA ORS.
2. Register the business with TRA and get TIN certificate and tax clearance. Click this link to read our article on how to register for Tax Payer Identification Number (TIN) from TRA in Tanzania.
3. Apply for business license from Municipal Council. Click this link to read our article on how to get business license in Tanzania.
4. Open a bank account and mobile wallet for the business. A bank account and mobile wallet are not mandatory but better to have them if you really want to do business that will grow and get extra finance from bank and other financial institutions. Click this link to read our article on how to open business bank account in various banks in Tanzania.Hatua ya 7: Weka pesa kiasi na ufanyie majaribio wazo lako la biashara
Depending with the amount you want to put into the business, take not more than half and run the business for a while. I advise that you should deposit into the bank account/business mobile wallet the money you set aside for the business.
This will help you track your business and prove that you are bankable in the future. Businesses that are transparent have more rooms to grow.
Based on the hardware business category you choose, get orders and supplies and deliver. Test the whole process.
For instance, if you decided to sell just paints and painting tools then get orders from painters and source the materials and deliver. See if you can make money from few transactions.
Tools
- The Startup Capital required for a small hardware shop ranges between Tshs 4,000,000/= and Tshs 10,000,000/= depending with the category you choose to specialize on.
If you take paints then Tshs 5,000,000 will be enough for rent, registration fees and inventory of more than 50 buckets of varieties of paints in 20ltrs.
And since the paints will be a mix of 20ltrs and small packages then you can take 30 buckets.
Materials
- You will be required to have your National ID number for registration purposes at BRELA (Business Registration and Licensing Agency) and TRA (Tanzania Revenue Authority).
Hitimisho
Naamini unafahamu kuwa kuanza biashara ni jambo jepesi sana. Ila usimamizi wa biashara huwashinda wengi na hatimae biashara hufa. Biashara mpya ina mambo manne ya kuyazingatia na kuyasimamia vyema. Eneo la kwanza ni eneo la mapato na matumizi, eneo la pili ni eneo la masoko na wateja, eneo la tatu ni eneo la wafanyakazi, na eneo la mwisho ni vihatarishi.
There is a guide that I suggest you follow when you start your new business. You can check the guide by following this link.
Bonas
Kuna mambo manne yanayopelekea mtu kufanikiwa kwenye biashara ya vifaa vya ujenzi. Jambo la kwanza ni ujuzi wa matumizi ya hivyo vifaa vya ujenzi, jambo la pili ni huduma nzuri kwa wateja, jambo la tatu ni uwepo wa mtu ama watu sahihi wa mauzo, na jambo la nne ni kuwa mchokozi badala ya kusubiri watu wakufate. Wewe ndio unatakiwa kuwafata.
Biashara hii inahitaji watu wachokozi ambao hata wakiambiwa hapana mara kumi bado hawaachi kuendelea kusumbua kutafuta soko la bidhaa zao.
Tunaweza kukusaidia katika masuala yafuatayo:
- Kuandaa mpango kazi wa biashara ya duka dogo la vifaa vya ujenzi
- Wauza vifaa vya ujenzi Tanzania
- Bidhaa za hardware zinazouza zaidi sokoni
- Garama za bidhaa za vifaa vya ujenzi Tanzania
- Bei za mbao za MDF Tanzania
- List of building material importers in tanzania
Published by Kessy Juma
Kessy Juma is the founder of Miamia Trading Company (MIAMIA). He is a Techpreneur with roots in accountancy. |