Sekta za Biashara Tanzania

Kwenye chapter hii tutaangazia masuala mbalimbali yahusuyo sekta za biashara Tanzania ikiwemo sekta za ujenzi, utalii, kilimo, uvuvi, nishati, madini, etc

How to start a small hardware shop in Tanzania?

Biashara ya vifaa vya ujenzi Tanzania – Sehemu ya I: Jinsi gani unaweza anza biashara ya duka dogo la vifaa vya ujenzi Tanzania?

Duka dogo la vifaa vya ujenzi ni duka linalouza vifaa mbalimbali vinavyotumika kwenye shughuli za ujenzi. Hii ni pamoja na kila aina ya bidhaa za vifaa kama zana za mkono, zana za umeme, vifaa vya bomba, vifaa vya ujenzi, makufuli, bawaba, minyororo, vifaa vya umeme, bidhaa za kusafishia, rangi, na …

Biashara ya vifaa vya ujenzi Tanzania – Sehemu ya I: Jinsi gani unaweza anza biashara ya duka dogo la vifaa vya ujenzi Tanzania? Read More »

Scroll to Top